DIAMOND AKIIMBA MZIKI GANI NA BINTI ANAYE LELEWA KATIKA KITUO CHA WATOTO BUGURUNI

7 Views
Published
Watch new video ft Ne-Yo "Marry You" : http://www.youtube.com/watch?v=QdOaBt...
DOWNLOAD/STREAM “Marry You" : https://DiamondPlatnumz.lnk.to/MarryY...

Hii ilikuwa ni siku ya ijumaa,nilipotembelea kituo cha kulelea watoto,kilichopo buguruni,nilishiriki nao chakula cha pamoja,kuimba nao,kucheza na kuzungumza...mmoja wao alikuwa ni huyu binti mwenye kuipaji cha kuimba,tuliimba pamoja wimbo wa mziki gani..yeye akichukua nafasi ya Nay true boy..japo alikuwa akiimba kwa sauti ya chini..lakini ni muimbaji mzuri na anakipaji...
Category
Music
Be the first to comment