Diamond Platnumz ft Rayvanny - KARANGA ADVERT

12 Views
Published
Am glad to inform you that Diamond Platnumz has a new Product called @DiamondKaranga (Diamond Peanuts) which will be available in East Africa for 300/= Tanzanian Shilling retail Price and 20,000/= Wholesale Price .....
Ninheoenda kuwajuza kuwa Diamond Platnunz sasa ana bidhaa Mpya iitwayo @Diamondkaranga ambayo itakuwa inapatikana Madukani kote Africa Mashariki nzima kwa shilingi miatatu tu (300/=) bei ya rejareja kwa pakiti moja... na shilingi elf ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elf kumi... Karanga hizi anazinunua kwa wakulima kutoka mikoa ya DODOMA, MTWARA, TABORA n.k.... kisha kuziongezea njonjo na kuzipakia katika pakiti za kisasa, ili mtu mwenye hadhi yoyote aweze kutembea nazo popote atakapo... ) usiseme tena Karanga sema DIAMOND KARANGA!!!!

Mawasiliano kwa Kununua Jumla:-
MOMBASA +254700187727

DAR ES SALAAM
-KINONDONI 0657748554
-ILALA 0655201244
-TEMEKE 0715174884
-ARUSHA 0754447715
-UBUNGO 0764657570
-TEGETA 0764657570
-WENGINE 0714993724

MOSHI 0654447715
MBEYA 0789082977
MBEYA 0784745949
MBEYA 0784227882
MOROGORO 0717487246
TANGA 0653587793
LINDI 0785294790
MTWARA 0784786070
ZANZIBAR 0655424005
PEMBA 0655424005
IRINGA 0657868047
MWANZA 0784790490
MWANZA 0766500639
DODOMA 0713471683
SONGEA 0717767021

NOGEWA JIRAMBEEE!!! #NogewaJirambe
Category
Music
Be the first to comment